Propellerads

Kumbe Nyosso ndio mambo yake, Maftah nae afichua yake



Kufuatia kitendo kisichokua cha kiungwana mchezoni 'kupiga dole' kilichofanywa na Juma Nyosso
wa Mbeya City dhidi ya John Bocco wa Azam fc wakati vilabu hivyo vilipokutana wiki hii, mchezaji mwingine, Amir Maftah ameibuka nae na kukumbushia kuwahi kukumbana na Nyoso kwa tabia yake


Kumbe Nyosso ndio mambo yake, Maftah nae afichua yake Kumbe Nyosso ndio mambo yake, Maftah nae afichua yake Reviewed by Steve on Monday, September 28, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.