Kuhusu janja janja ya Tambwe, maamuzi haya yafikiwa.
TFF inadaiwa kufanya hivyo kutokana na mapendekezo ya kamati yake ya waamuzi ambayo iliyatoa baada ya kupitia video za mabao yote ambayo Tambwe ameyafunga msimu huu na ule ulipoita na kubaini baadhi ya mbinu mbalimbali ambazo amekuwa akizitumia kufunga ambazo siyo sahihi kwa mujibu wa sheria 17 za soka bila ya waamuzi kumbaini.
Mmoja wa wajumbe wa kamati ya waamuzi TFF aliyetaka hifadhi ya jina lake alisema,
"Oktoba Mosi, mwaka jana , Tambwe alifunga bao la utata, sasa tunafuatilia nyendo zake kwa karibu ili asilete utata mwingine.
"Hata hivyo katika kumfatilia huku tumesisitiza asionewe bali wanaomfatilia watende haki."
Kuhusu janja janja ya Tambwe, maamuzi haya yafikiwa.
Reviewed by Steve
on
Saturday, February 25, 2017
Rating:
Reviewed by Steve
on
Saturday, February 25, 2017
Rating:

No comments:
Post a Comment