Tambwe akifunga leo, atavunja rekodi hizi
Rekodi ambayo Tambwe ataivunja ni ya kufunga mara nne mfululizo katika mechi ya watani Simba na Yanga, mpaka sasa rekodi ipo hivi,
Kitwana Manara alipata kufunga mara tatu mfululizo
- -March 30, 1968 Yanga 1-0 Sunderland
- -Juni Mosi, 1968, Yanga 5-0 Sunderland
- -Juni 04, 1972 ,Yanga 1-1 Simba
Madaraka Selemani
- -Julai 2, 1994 ,Simba 4-1 Yanga
- -Nov. 2, 1994, Simba 1-0 Yanga
- -Nov. 21, 1994, Simba 2-0 Yanga
Tambwe yeye mpaka sasa yupo sawa na wakongwe hao, lakini endapo akifunga akifunga leo, basi atakua ameweka rekodi mpya, kwani kwa sasa hesabu zake zinasoma hivi;
- -Septemba 26, 2015 (Simba 0-2 Yanga)
- -Februari 20, 2016 (Yanga 0-2 Yanga)
- Oktoba Mosi, 2016 Yanga 1-1 Simba
Tambwe akifunga leo, atavunja rekodi hizi
Reviewed by Steve
on
Saturday, February 25, 2017
Rating:
Reviewed by Steve
on
Saturday, February 25, 2017
Rating:

No comments:
Post a Comment