Propellerads

Juan Mata kuongeza mkataba mwingine Manchester United?




Kiungo wa Manchester United, Juan Mata ameripotiwa
anaweza kupewa ofa ya mkataba mpya baada ya kumvutia kocha Jose Mourinho.

Mhispania huyo alitarajiwa kwamba labda huenda akaondoka kipindi cha joto baada ya kuwasili kwa Mourinho ambaye hakua na mahusiano mazuri nae walipokua klabuni Chelsea.

Kwa mujibu wa The Mirror, Mata, ambaye mkataba wake utafika ukomo mwakani atafanya mazungumzo ya mkataba mwingine wa miaka minne na Red Devils katika wiki zijazo.
Juan Mata kuongeza mkataba mwingine Manchester United? Juan Mata kuongeza mkataba mwingine Manchester United? Reviewed by Steve on Monday, October 10, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.