Propellerads

Messi atupia Hat-Trick Barcelona wakiwanyoosha Celtic kisawa sawa, pia matokeo mengine yapo hapa




Matokeo: Barcelona 7-0 Celtic

Tarehe: 13 September 2016

Uwanja: Camp Nou




Lionel Messi ametupia hat-trick ambapo Barcelona iliifunga klabu ya uskochi, Celtic kwa mabao 7-0 bila huruma katika mchezo wa ufunguzi klabu bingwa. Neymar, Andres Iniesta na Luis Suarez pia walitupia kwenye kalamu hiyo ya magoli.





Kwa ujumla matokeo ya mechi za klabu bingwa, matokeo yalikua kama hivi:

GROUP A
Paris Saint-Germain1-0 Arsenal
Basle       0-1   Ludogorets

GROUP B
Dynamo Kiev 1-2   Napoli
Benfica           1-0   Besiktas

GROUP C
Barcelona           2-0  Celtic
Manchester City P-P  Borussia Monchengladbach (Iliahirishwa kutokana na hali ya hewa mbaya)

GROUP D
Bayern Munich 2-0  Rostov
PSV                  0-1  Atletico Madrid



Messi atupia Hat-Trick Barcelona wakiwanyoosha Celtic kisawa sawa, pia matokeo mengine yapo hapa Messi atupia Hat-Trick  Barcelona wakiwanyoosha Celtic kisawa sawa, pia matokeo mengine yapo hapa Reviewed by Steve on Wednesday, September 14, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.