Hiki ni kikosi ambacho Di maria anakiota sana, ona alivyokipanga
Winga wa Paris Saint-Germain, Angel Di Maria ametaja kikosi
chake anachokifikiria huku muarjentina mwenzake, Lionel Messi akiongoza ushambuliaji.
Kiungo huyo aliyepata kukipiga Man United na Real Madrid aliiambia UEFA kikosi chake anachofikiria kinaweza kuwa vipi, ikiwemo golikipa, viungo wawili na washambuliaji wawili.
Di Maria alichagua wachezaji wenzie wawili aliokua nao Real Madrid, mkongwe mmoja wa kiitaliano, mkali mwingine tena kutoka Real madrid na Lionel Mesi kukamilisha ushambuliaji.
Kikosi cha ndoto za Di Maria
Goalkeeper: Iker Casillas (Porto)
Midfielder: Andrea Pirlo (New York City)
Midfielder: Zinedine Zidane (Formerly of Real Madrid)
Striker: Lionel Messi (Barcelona)
Striker: Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
Hiki ni kikosi ambacho Di maria anakiota sana, ona alivyokipanga
Reviewed by Steve
on
Monday, October 05, 2015
Rating:
No comments:
Post a Comment