Propellerads

Usajili wa nguvu zaidi msimu huu Premier League, angalia top 8




Tayari kuna wachezaji kibao wameshasajiliwa kipindi hiki cha joto, huku vilabu vikitumia
pesa nyingi. Lakini timu inaweza ikachukua nyota wakali wasifanye lolote hivyo kua kazi bure.

Hapa ni orordha ya usajili ambaom tunaweza kusema kua makocha walilamba dume, cheki mwenyewe!


8. Sergio Romero: Sampdoria to Man United


7. Glen Johnson: Liverpool to Stoke


6. Ibrahim Afellay: Barcelona to Stoke


5. Youssouf Mulumbu: West Brom to Norwich


4. Tom Cleverley: Man United to Everton


3. Micah Richards: Man City to Aston Villa


2. Andre Ayew: Marseille to Swansea


1. James Milner: Man City to Liverpool


Usajili wa nguvu zaidi msimu huu Premier League, angalia top 8 Usajili wa nguvu zaidi msimu huu Premier League, angalia top 8 Reviewed by Steve on Tuesday, August 04, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.