Pep Guardiola amzungumzia Schwensteiger, kasema nini!!...zaidi ingia hapa
Nyota huyo wa kimataifa kutoka Ujerumani alisajiliwa na Man United msimu uliopita, lakini katika ziara ya timu Marekani alishindwa kufika mpaka mwisho baada ya kupata majeraha
Guardiola aliiambia The Times "Kama hana na tatizo la majeraha, nashawishika kusema atafanya vizuri zaidi Manchester United"
"Ni mchezaji wa hali ya juu, bahati mbaya katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita hakua katika hali nzuri. Ataenda kucheza vizuri Manchester United, nina uhakika katika hilo"
Nyota huyo mwenye miaka 31 alicheza mechi 15 pekee kwa mabingwa hao wa Bundesliga msimu uliopita.
Pep Guardiola amzungumzia Schwensteiger, kasema nini!!...zaidi ingia hapa
Reviewed by Steve
on
Tuesday, August 04, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, August 04, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment