Propellerads

Fernando Llorente kutua Arsenal?!




Mshambuliaji wa Juventus, Fernando Llorente ameripotiwa kua katika mpango wa kutua
klabu ya washika bunduki ya Arsenal.

Nyota huyo mwenye miaka 30 miezi ya hivi karibuni amekua akihusishwa sana kutaka kuihama klabu hiyo ya Turin baada ya kudaiwa kutoelewana na kocha Massimiliano Allegri.

Kwa mujibu wa  L'Equipe, mhispania huyo atakamilisha uhamisho wake kwa the Gunners wiki ijayo kwa ada ya  £8.56m.

Llorente ameifungia  Juventus magoli tisa msimu umiopita.
Fernando Llorente kutua Arsenal?! Fernando Llorente kutua Arsenal?! Reviewed by Steve on Tuesday, July 28, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.