Baada ya mechi na Chelsea, wengi wanadai Chamberlain ni zaidi ya Sterling!!
Baada ya mchezo wa juzi katika ngao ya jamii ambao ulizikutanisha Chelsea na Arsenal, wengi wamesema
kua Chamberlain ndie winga mkali zaidi England kwa sasa.
Katika mchezo huo Arsenal waliibuka na ushindi wa 1-0 huku winga huyo akiwa mfungaji na pia alikua nyota wa mchezo huo.
Kwa mujibu wa Telegraph wanadai kua Chamberlain kwa sasa anaweza kumzidi winga wa zamani wa Liverpool ambaye uhamisho wake kwenda Liverpool ulivunja rekodi na kumuingiza katika orodha ya wachezaji ghali zaidi England.
Chamberlain kama winga alionesha mchangoi mkubwa sana kwa timu yako hadi kufanikiwa kufuta uteja wa miaka 13 wa kufungwa na Mourinho.
Baada ya mechi na Chelsea, wengi wanadai Chamberlain ni zaidi ya Sterling!!
Reviewed by Steve
on
Tuesday, August 04, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, August 04, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment