Man United mbioni kumsaini nyota mwingine wa Real Madrid, Rafael nae na hatma ya uhamisho wake
Manchester United wameripotiwa kupewa ofa ya kumsainisha beki wa
Real Madrid, Pepe kipindi hiki.
Man United na Real Madrid wamekua katika vuta n'kuvute katika siku za hivi karibuni kwani Real Madrid wanamuhitaji De Gea huku Man United nao wakimhitaji Ramos.
Huku De Gea ambaye inawezekana akaelekea Real Madrid, tayari Ramos ameongeza mkataba wa muda mrefu Los Blancos, hivyo kuzima ndoto za Old Traford.
Kwa mujibu wa The Mirror Man United wamepewa nafasi na Real Madrid ya kumsainisha Pepe ambaye anaweza kua mbadala wa Ramos.
Kwa upande mwingine, nyota wa Man united, Rafael tayari amekamilisha uhamisho wake kuelekea klabu ya Lyon ya Ufaransa ambapo amesaini mkataba wa miaka minne kwa ada ya ambayo haijawa wazi.
Man United mbioni kumsaini nyota mwingine wa Real Madrid, Rafael nae na hatma ya uhamisho wake
Reviewed by Steve
on
Tuesday, August 04, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, August 04, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment