Propellerads

Jerry Muro na Julio walikua kura maoni CCM, je wamepita ama!!....ona hapa




Kocha wa Mwadui FC ya Shinyanga Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameangukia pua kwenye
kura za maoni kuwania kuteuliwa kuwania nafasi ya Udiwani wa kata ya Kigogo kupitia Chama Cha Mapinduzi baada ya kumaliza akiwa nafasi ya tatu kwenye kinyang’anyiro hicho.

“Nimemaliza mtu wa tatu katika kura za maoni kata ya Kigogo na hiyo siyo maana nimeshindwa kwasababu kawaida ya CCM baada ya kura za maoni majina yanapelekwa Wilayani na baadae Mkoani ili kupitia jina la kila mmoja ili kuona yupi anafaaili aweze kwenda lakini kwa jinsi ambavyo Julio Alberto sikufanya kampeni za kupita nyumba kwa nyumba kwasababu mimi sera yangu sitaki rushwa”.

Wanamichezo wengine walioangukia pua kwenye kura za maoni ni pamoja na Afisa habari wa Yanga Jerry Muro na Abdalla Idirisa Majura waliokuwa wakiwania kuteuliwa na chama chao kuwania Ubunge wa jimbo la Kawe.


Jerry Muro na Julio walikua kura maoni CCM, je wamepita ama!!....ona hapa Jerry Muro na Julio walikua kura maoni CCM, je wamepita ama!!....ona hapa Reviewed by Steve on Tuesday, August 04, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.