Propellerads

Vidal & Vargas waipa Chile mwanzo mzuri kwa ushindi.




Wenyeji Chile wameanza michuano ya Copa America vizuri baada ya ushindi dhidi ya Ecuador, magoli ya
mkali wa Juventus, Arturo Vidal na mkali mwingine kutoka Napoli, Eduardo Vargas yameiwezesha Juve kushinda 2-0.



Mchezo huo kwa kiasi kikubwa ulitawaliwa na Chile, ambapo bao la kwanza lilifungwa na Artulo Vidal kwa mkwaju wa penalt baada ya kuangushwa eneo hatari ndani ya kipindi cha pili.

Chile walipata bao la pili baada ya Vargas aliyeingia kipindi cha pili kumalizia pasi safi ya Sanchez.
Vidal & Vargas waipa Chile mwanzo mzuri kwa ushindi. Vidal & Vargas waipa Chile mwanzo mzuri kwa ushindi. Reviewed by Steve on Friday, June 12, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.