Arsenal imemuweka kiungo wake Abou Diaby katika listi ya waliotemwa. Diaby ambaye amekuwa majeruhi kwa miaka nane sasa, ni kati ya wachezaji wanaotakiwa kuondoka Arsneal.