Liverpool wamnasa Gomez.
Liverpool imepata sign ya mchezaji kinda mwenye miaka 18. Mchezaji huyu alikua anahusishwa sana na club mbalimbali za
EPL lakini yeye amechagua kujiunga na Liverpool.
Joe Gomez ambae anatokea Charlton Athletic kwa gharama inayoripitwa kuwa ni £3.5 million.
Kupita tovuti ya Liverpool Gomez amesema “Ni ndoto iligeuka kuwa kweli. Ninajiskia mwenye furaha kuwa hapa. Club ina historia nzuti na wachezaji wazuri, Nimekua nikiifatia tangu nilipokua mdogo”
Kupita tovuti ya Liverpool Gomez amesema “Ni ndoto iligeuka kuwa kweli. Ninajiskia mwenye furaha kuwa hapa. Club ina historia nzuti na wachezaji wazuri, Nimekua nikiifatia tangu nilipokua mdogo”
Liverpool wamnasa Gomez.
Reviewed by Steve
on
Saturday, June 20, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Saturday, June 20, 2015
Rating: