Propellerads

Mtazamo wa Henry kuhusu usajili kwa klabu yake ya zamani ya Arsenal




Thierry Henry amesema kwamba anaamini kwa kipindi hiki
kilichobaki kwenye dirisha la usajili anaweza kukiita kama msimu wa Arsenal. Anachomaanisha ni kwamba kipindi hiki lazima Arsenal isajili Striker na Midfielder.

Akiwa kwenye uchambuzi wa mechi ambayo iliisha kwa draw ya bila bila Henry alisema,“Nadhani itakua ni wiki kubwa sana, swali ni kwamba watanunua mchezaji, walikua wanakosa wachezaji sana leo usiku, bado wanahitaji holding midfielder na striker pia. Tulikua tunasema hivi tangu mwanzo wa msimu”.

Katika muendelezo wa mazungumzo hato Henry alisema pia hakuna jinsi zaidi ya kutumia pesa ili kupata mchezaji anaehitajika kama hayupo kwenye kikosi hivi sasa.
Mtazamo wa Henry kuhusu usajili kwa klabu yake ya zamani ya Arsenal Mtazamo wa Henry kuhusu usajili kwa klabu yake ya zamani ya Arsenal Reviewed by Steve on Tuesday, August 25, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.