Propellerads

Yanga bado wanawafukuzia Simba



Yanga jana wamerejesha matumaini ya kuendelea na mbio za
kutetea ubingwa wao Tanzania bara baada ya kuwachapa Ruvu Shooting kwa mabao 2-0 uwanja wa Taifa jana.

Bao la kwanza la Yanga liliwekwa nayvuni na Simon Msuva dakika ya 31 kwa njia ya penalti, baada ya mwamuzi Ahmed Simba kuamuru ipigwe kufuatia beki wa Ruvu kuunawa mpira ndani ya eneo la hatari.

Emmanuel Martin aliyeingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Deus Kaseke, aliifungia Yanga bao la pili dakika za majeruhi kwa kichwa kumalizia krosi safi ya Msuva.
Yanga bado wanawafukuzia Simba Yanga bado wanawafukuzia Simba Reviewed by Steve on Thursday, March 02, 2017 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.