Propellerads

Bokungu hakutarajiwa na wengi, lakini siri ya kuimarika kiwango chake imebainika



Mwanzoni kabisa alikua akichukuliwa poa kwenye kikosi cha
Simba na wengi walitazamia huenda angeonyeshwa mlango wa kutokea lakini jamaa alipambana.

Kilichokuwa kinamwangusha mwenyewe alikua anakifahamu ni uzito na ugeni wa mazingira na alichokifanya ni kupunguza kutoka Kg 78 hadi Kg 73 sasa hivi chini ya programu maalumu ya daktari wake Yassin Gembe.

Lakini kwa sasa Janvieri Bokungu ni miongoni mwa mabeki wazuri tu katika kikosi cha Simba.
Bokungu hakutarajiwa na wengi, lakini siri ya kuimarika kiwango chake imebainika Bokungu hakutarajiwa na wengi, lakini siri ya kuimarika kiwango chake imebainika Reviewed by Steve on Thursday, March 02, 2017 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.