Propellerads

Rooney ajitetea kwa ushindi finyu na England yake, matokeo mengine pia yapo hapa



Wayne Rooney amedai kwamba hawakuwa na hofu kufuatia ushindi mwembamba
dhidi ya Slovakia jana.

Mchezo huo ambao ni wa kundi F katika kufuzu michuano ya World Cup 2018 ulikua umeng'ang'ania sare ya 0-0 mpaka pale England walipojipatia point tatu baada ya Adam Lallana kufunga dakika ya 95.

Rooney amewapongeza wana kikosi wenzake kwa kutokua na hofu kutokana na presha ya mchezo huku pia akimsifia Lallana kwa bao lake ambalo ni la kwanza kwa kocha Sam Allardyce.

"Hatukuwa na hofu, hicho ndio kilikua kikubwa. Tulikwama na kujipanga. Adam alifunga na kutupa mwanzo mzuri." Rooney aliiambia ITV Sport.

Katika michezo mingine ya kufuzu kombe la dunia 2018 iliyochezwa jana matokeo yalikua hivi:

Denmark 1-0 Armenia

Kazakhstan  2-2 Poland

Lithuania 2-2 Slovenia

San Marino 0-1 Azerbaijan

Czech Republic 0-0  Northern Ireland

Malta 1-5 Scotland

Norway 0-3 Germany

Romania 1-1 Montenegro
Rooney ajitetea kwa ushindi finyu na England yake, matokeo mengine pia yapo hapa Rooney ajitetea kwa ushindi finyu na England yake, matokeo mengine pia yapo hapa Reviewed by Steve on Monday, September 05, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.