Propellerads

Guardiola ana haya ya kusema kuhusu Manchester Derby ijayo.



Bosi wa Manchester City,  Pep Guardiola ametoa mtazamo kuhusu mechi ijayo
itakayomkutanisha na kikosi cha Jose Mourinho, lakini vipi kuhusu uhasimu na Mreno huyo?

Kocha huyo Mhispania amedai kwamba bado hajaona Manchester United ikicheza msimu huu.

"Bado sijaona Manchester United wakicheza, kwa hiyo nina siku 10 kuwatizama United, Borussia Monchengladbach na timu nyingi," alisema kwa mujibu wa ESPN.

"Tunatakiwa kua na kiwango kizuri kushinda Old Trafford. Ninaweza kuuona upepo. Ninajitahidi kuzoea."

Man City na United watakutana Septemba 10 baada ya mapumziko ya kimataifa.
Guardiola ana haya ya kusema kuhusu Manchester Derby ijayo. Guardiola ana haya ya kusema kuhusu Manchester Derby ijayo. Reviewed by Steve on Sunday, September 04, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.