Ronaldo atabiri timu itakayochukua La Liga na kwanini
Taji la La liga limechukuliwa mara kibao na vilabu vya Barcelona na Real Madrid,
na sasa nyota wa Los Blancos, Cristiano Ronaldo amefunguka kuhusu klabu anayohisi itachukua ubingwa.
Ronaldo alirejea kikosi cha kwanza Real Madrid kwa kufunga bao waliposhinda kwa 5-2 mbele ya Osasuna, amesisitiza kwamba klabu yake itachukua taji la La liga msimu huu.
"Ninataka kushinda mataji yote yanayowezekana na nitapenda kushinda La liga," aliwaambia waandishi kwa mujibu wa Sport.
"Ni taji ambalo tutachukua, timu iko vizuri. Tumeanza vizuri na tutaendelea vizuri.
"Ni mashindano marefu, lakini ninashawishika kua tutashinda msimu huu."
Ronaldo atabiri timu itakayochukua La Liga na kwanini
Reviewed by Steve
on
Monday, September 12, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, September 12, 2016
Rating:

No comments:
Post a Comment