Propellerads

Mourinho ataja sababu za kumtosa Rooney mchezo wa leo Europa



Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amefafanua kwanini amemwacha
Wayne Rooney kwenye mchezo dhidi ya Feyernood katika michuano ya  Europa.

Kocha huyo amewaacha Wayne Rooney, Luke Shaw, Antonio Valencia, Henrikh Mkhitaryan na Jesse Lingard, kwenye mechi ya leo.

Amesisitiza kwamba Rooney anahitaji mapumziko na ana machaguo mengi kwenye kikosi chake.

"(Rooney) amecheza kila mechi tangu kuanza kwa msimu na amecheza dakika zote 90 England," alisema Mourinho kama alivyonukuliwa na Sky Sports.

"Ninataka awe sawa kwa michezo inayofuata

Mourinho ataja sababu za kumtosa Rooney mchezo wa leo Europa Mourinho ataja sababu za kumtosa Rooney mchezo wa leo Europa Reviewed by Steve on Thursday, September 15, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.