Propellerads

Mjue mwamuzi atakayechezesha mechi ya Man United na Man City Jumamosi



Jumamosi hii Manchester United wanatarajia kuwakaribisha Manchester City
Old Trafford, mwamuzi wa mechi hiyo atakua Mark Clattenburg.



Wasaidizi wake watakua Jake Collin na Steve Bennett, huku Mike Dean atakua wa nne.

Kikosi cha Pep Guardiola kitasafiri mpaka Pld Trafford huku kila mmoja akijiandaa kupoteza rekodi yake ya ushindi wa asilimia 100 wa Premier League msimu huu.

Mouinho hatakua na mabeki wake wote wa kikosi cha kwanza huku Luke Shaw akiwa nje baada ya kuumia mazoezini na timu ya taifa England.


Mjue mwamuzi atakayechezesha mechi ya Man United na Man City Jumamosi Mjue mwamuzi atakayechezesha mechi ya Man United na Man City Jumamosi Reviewed by Steve on Tuesday, September 06, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.