Propellerads

Mishahara ya wachezaji wa Juventus 2016/17 yavuja




Klabu ya Serie A, Juventus ilifanya usajili wa majina makubwa katika
msimu wa usajili ulioisha hivi karibuni. Shukrani kwa taarifa hizi kuvuja kwani sasa tunajua wachezaji kama Dani Alves, Patrice Evra na nyota wa Arjentina, Gonzalo Higuain wanalipwa vipi.

Kwa mujibu wa tovuti iitwayo totalSPORTEK, Juventus wanatumia Euro milioni 64.5 kwa mwaka kulipa mishahara .

Hapa chini ni mishahara iliyovuja ya wachezaji wote wa Juventus kwa mujibu wa totalSPORTEK:

1) Gonzalo Higuain – €7.7 million

2) Miralem Pjanic – €5.5 Million

3) Gianluigi Buffon – €4 million

4) Sami Khedira – €4 million

5) Dani Alves – €4 million

6) Giorgio Chiellini – €3.5 million

7) Leonardo Bonucci – €3.5 million

8) Mario Mandzukic – €3.5 million

9) Claudio Marchisio – €3.5 million

10) Hernanes – €3 million

11) Paulo Dybala – €3 million

12) Alex Sandro – €2.8 million

13) Andrea Barzagli – €2.8 million

14) Stephan Lichtsteiner – €2.8 million

15) Patrice Evra – €2.5 million

16) Neto – €2 million

17) Medhi Benatia – €2 million (Asilimia 50% analipwa klabu ya Bayern Munich)

18) Simone Zaza – €1.8 million (R29 million) Ametolewa kwa mkopo.

19) Kwadwo Asamoah – €1.6 million        

20) Stefano Sturaro – €1.5 million

21) Roberto Pereyra – €1.5 million

22) Mario Lemina – €1.2 million

23) Marko Pjaca – €1.2 million


24) Luca Marrone – €800 000

*Mishahara ni kwa mwaka
Mishahara ya wachezaji wa Juventus 2016/17 yavuja Mishahara ya wachezaji wa Juventus 2016/17 yavuja Reviewed by Steve on Tuesday, September 13, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.