Mishahara mipya ya wachezaji Arsenal 2016/17 imevuja, Ozil na Sanchez wanalipwa vipi!!, ipo hapa
Klabu ya Uingereza, Arsenal inafahamika sana kwa kubana matumizi
ya pesa, lakini hivi karibuni mishahara mipya imevuja ambapo Mesut Ozil na Alex Sanchez wakiwa ni miongoni mwa wachezaji wanaolipwa zaidi Emirates.
Hapa ni mishahara mipya iliyovuja kwa mujibu wa mtandao uitwao totalSPORTEK, Arsenal wanatumia kiasi cha pauni mil 1.9 kwa mwaka kulipa mishahara pekee.
1) Mesut Özil – £140 000 (R2.6 million)
2) Alexis Sánchez – £140 000
3) Theo Walcott – £110,000
4) Aaron Ramsey – £110 000
5) Olivier Giroud – £100 000
6) Petr Cech – £100 000
7) Granit Xhaka – £90 000
8) Jack Wilshere – £90 000 Ametolewa kwa mkopo.
9) Santi Cazorla – £90 000
10) Shkodran Mustafi – £90 000
11) Laurent Koscielny – £75 000
12) Per Mertesacker – £70 000
13) Mathieu Debuchy – £70 000
14) Lucas Perez – £70 000
15) Danny Welbeck – £70 000
16) Alex Oxlade-Chamberlain – £65 000
17) Nacho Monreal – £65 000
18) Kieran Gibbs – £60 000
19) Héctor Bellerín – £50 000
20) Gabriel Paulista – £50 000
21) Carl Jenkinson – £45 000
22) Francis Coquelin – £45 000
23) Mohamed Elneny – £40 000
24) David Ospina – £40 000
25) Alex Iwobi – £30 000
26) Calum Chambers – £20 000 Ametolewa kwa mkopo.
27) Rob Holding – £10 000
Mishahara mipya ya wachezaji Arsenal 2016/17 imevuja, Ozil na Sanchez wanalipwa vipi!!, ipo hapa
Reviewed by Steve
on
Friday, September 09, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Friday, September 09, 2016
Rating:

No comments:
Post a Comment