Propellerads

Messi kukaa nje kwa wiki kadhaa




Mshambuliaji wa FC Barcelona, Lionel Messi atakua
nje ya uwanja kwa muda wa wiki tatu baada ya kupata maumivu kwenye kinena kwenye mechi dhidi ya Atletico Madrid Jumatano usiku.

Sasa Messi atakosa jumla ya michezo mitano ikiwemo wa klabu ambapo Barca wataumana na Borussia Monchengladbach kwenye klabu bingwa na michezo ya timu ya taifa Argentina dhidi ya Peru na Paraguay katika kufuzu kombe la dunia.
Messi kukaa nje kwa wiki kadhaa Messi kukaa nje kwa wiki kadhaa Reviewed by Steve on Thursday, September 22, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.