Huyu Zlatan bwana!!, eti ame 'miss' mshahara wa PSG!
Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic amefichua
kwamba ame 'miss' mshahara aliozoea kupokea klabu yake ya zamani ya Paris-Saint Germain.
Hivi karibuni aliulizwa kama kuna chochote kuhusu klabu yake aliyotoka kama anakikumbuka ambapo hakujiuliza sana kujibu swali hilo kwa uwazi zaidi.
"Nakumbuka mshahara wangu wa mwisho kutoka Paris," aliiambia SFR Sport.
"Hicho ndicho nakikumbuka."
Huyu Zlatan bwana!!, eti ame 'miss' mshahara wa PSG!
Reviewed by Steve
on
Monday, September 12, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, September 12, 2016
Rating:

No comments:
Post a Comment