Propellerads

Chelsea kumuuza Fabregas?




Imeripotiwa kwamba Chelsea wana mpango wa
kumuuza Cesc Fabregas katika dirisha dogo la usajili.

AC Milan walitaka kumsajili nyota huyo katika siku ya mwisho usajili uliopita lakini Chelsea waliwatolea nje.

Hata hivyo, kwa mujibu wa The Express, Conte anajiandaa kumuuza Mhispania huyo mwezi januari ambapo Fabregas atatakiwa kutafuta klabu nyingine kati kati ya msimu huu wa 2016/17.


Chelsea kumuuza Fabregas? Chelsea kumuuza Fabregas? Reviewed by Steve on Monday, September 12, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.