Propellerads

Antonio Conte azungumzia sare na Swansea, kwake amechukulia hivi




Meneja wa Chelsea, Antonio Conte ameefunguka kutotegemea kikosi
chake kupata sare ya 2-2 mbele ya Swansea akidai Blues wamepoteza point mbili.

Diego Costa aliifungia Chelsea magoli mawili Liberty Stadium huku wenyeji wakifunga kupitia penati ya Gylfi Sigurdsson na la pili likiwekwa kambani na Leroy Fer ambalo lilizua utata.

Baada ya mchezo, Conte aliiambia Sky Sports News "Ni ngumu kuongea kuhusu mchezo kwa sababu tumepoteza point mbili. Tulikua tumeutawala mchezo na kuongoza 1-0 na tumengeneza nafasi nyingi za kufunga goli la pili na la tatu.

"Inaumiza kwa sababu kama una nafasi ya kuumaliza mchezo ni lazima uumalize.

"Sitaki kuzungumzia maamuzi[kwa goli la pili la Swansea] lakini ni maamuzi mabaya ya mwamuzi."
Antonio Conte azungumzia sare na Swansea, kwake amechukulia hivi Antonio Conte azungumzia sare na Swansea, kwake amechukulia hivi Reviewed by Steve on Monday, September 12, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.