Baadhi ya picha Yanga walivyowanyoosha African Lyon
Mabingwa watetezi, Yanga SC wameanza vizuri Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada
ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya African Lyon Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Pongezi kwa wafungaji wa mabao hayo, viungo Deus David Kaseke aliyefungua biashara nzuri kipindi cha kwanza, Simon Msuva na Juma Mahadhi.
Vikosi vilivyocheza
Yanga: Deogratius Munishi, Hassan Kessy Ramadhani , Vicent Andrew, Vicent Bosou, Mwinyi Haji, Simon Msuva/Juma Mahadhi, Thaban Kamusoko, Haruna Niyonzima, Deus Kaseke/Yussuf Mhilu, Amis Tambwe, Donald Ngoma/Matheo Anthony.
African Lyon: Youthe Rostand, Halfan Twenye, Hamad Tajiri, William Otong, Baraka Jafari, Omary Abdallah, Hood Mayanja, Tito Okello.
Baadhi ya picha Yanga walivyowanyoosha African Lyon
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 28, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 28, 2016
Rating:





No comments:
Post a Comment