Kiiza abeba uchezaji bora Simba

Mshambuliaji wa Simba, Hamisi Kiiza amebeba tuzo ya mchezaji
bora wa mwezi wa Simba.
Tuzo hiyo imekabidhiwa leo kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu Dar es Salaam wakati Simba ikifanya mazoezi.
Kiiza alikabidhiwa tuzo hiyo na Kocha Mkuu, Dylan Kerr ambayo ni ngao pamoja na Sh 500,000.
Simba imeanzisha utaratibu wa kutoa tuzo kila mwezi kwa wachezaji wake ikiwa ni sehemu ya kuwahamasisha.
Kiiza abeba uchezaji bora Simba
Reviewed by Steve
on
Monday, October 05, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, October 05, 2015
Rating:
No comments:
Post a Comment