Wakati mechi za kimataifa zikiendelea, hii ndio top 10 ya wafungaji bora kwa wakati wote
Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wamevunja rekodi za
ufungaji wa wakati wote kwa ngazi ya vilabu, lakini bado wana nafasi ya kufikia rekodi hizo hata kimataifa pia na kuingia top ten.
Messi alifunga goli la 48 kwa Argentina wikiendi hii waliposhinda 7-0 dhidi ya Bolivia, huku Ronaldo akiwa na magoli 55 kwa Ureno.
Hapa chini ni orodha kamili ya top 10 wafungaji wa kimataifa kwa mujibu wa FourFourTwo:
10) Stern John, Trinidad and Tobago, 70 goals in 115 games
9) Majed Abdullah, Saudi Arabia, 71 goals in 147 games
8) Miroslav Klose, Germany, 71 goals in 137 games
7) Bashar Abdullah, Kuwait, 75 goals in 133 games
6) Sandor Kocsis, Hungary, 75 goals in 68 games
5) Godfrey Chitalu, Zambia, 76 goals in 108 games
4) Pele, Brazil, 77 goals in 92 games
3) Kunishige Kamamoto, Japan, 80 goals in 84 games
2) Ferenc Puskas, Hungary, 84 goals in 85 games
1) Ali Daei, Iran, 109 goals in 149 games
Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na tuffollow Twitter @Kandanda 24
Wakati mechi za kimataifa zikiendelea, hii ndio top 10 ya wafungaji bora kwa wakati wote
Reviewed by Steve
on
Tuesday, September 08, 2015
Rating:
No comments:
Post a Comment