Propellerads

De Gea kuanza mechi ya Liverpool




Mlinda mlango wa Manchester United anatarajiwa kuonekana kwa mara ya
kwanza kwa mechi za ligi msimu huu watapokipiga na Liverpool jumamosi hii.

Kipa huyo alikua mbioni kujiunga na Real Madrid mwezi uliopita lakini alikwama  kutokana na kukwama kwa dirisha la usajili Hispania, huku kocha Van Gaal pia akiwa hajamchezesha tangu msimu huu umeanza.

Kwa mujibu wa The Telegraph, De Gea ataichezea timu yake ya taifa usiku huu dhidi ya Macedonia kabla hajaichezea Man United kwa mara ya kwanza msimu huu hapo jumamosi.

De Gea amecheza na timu ya taifa ya Hispania mara tano.

Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na tuffollow Twitter @Kandanda 24



De Gea kuanza mechi ya Liverpool De Gea kuanza mechi ya Liverpool Reviewed by Steve on Tuesday, September 08, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.