Propellerads

Vidal aibuka na kukanusha tuhuma za ulevi, cheki hapa



Wiki iliyopita Artulo Vidal alifukuzwa kutoka kwenye kambi ya
wachezaji wenzake wa Chile baada ya kile kilichoelezwa kuwa alichelewa kuja kambini na alikua amelewa.

Baada ya kufukuzwa alirudi Ujerumani na alivyokutana na waandishi wa habari alikanusha tetesi za ulevi. Vidal alijitete hivi,“Nilikaa siku moja ya ziada ndani ya ziada ndio maana nilichelewa kufika kambini. Siku hiyo ya ziada ni kutokana na kuchelewa ndege ya kwanza, nilifuatwa na marafiki tukaenda kula kwenye mgawahawa tu na sio bar. Nimerudi nyumbani kwa sababu binafsi tu”

Story hii ilikua kubwa baada ya gazeti la Chile kuripoti Vidal alikua bar licha ya yeye kukanisha hizo story.

Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na Twitter @Kandanda 24
Vidal aibuka na kukanusha tuhuma za ulevi, cheki hapa Vidal aibuka na kukanusha tuhuma za ulevi, cheki hapa Reviewed by Steve on Monday, September 07, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.