Propellerads

Picha: Kama ulipitwa hivi ndivyo Simba alipokubali mbele ya Yanga jana


Baada ya kusota kwa miaka kadhaa hatimaye jana Yanga wamewatuliza watani zao wa
Msimbazi Simba kwa kuwabanjua kwa goli 2-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara wa raundi ya nne ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa.

Amis Tambwe na Malimi Busungu wameibuka mashujaa kwenye mchezo wa jana lakini sifa pekee zinaenda kwa Busungu aliyeingia kipindi cha kwanza kuchukua nafasi ya Msuva na kutengeneza bao lililofungwa na Tambwe dakika ya 44 kipindi cha kwanza kabla ya yeye kufunga bao la pili dakika ya 79 kipindi cha pili.




Wakati Simba wakipambana kusawazisha goli walilofungwa kipindi cha kwanza, Malimi Busungu alitupia goli la pili na kuzima kabisa matumaini ya kuambulia hata sare kwenye mchezo wa jana. 








Picha: Kama ulipitwa hivi ndivyo Simba alipokubali mbele ya Yanga jana Picha: Kama ulipitwa hivi ndivyo Simba alipokubali mbele ya Yanga jana Reviewed by Steve on Sunday, September 27, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.