Propellerads

Mourinho na mpango kabambe juu ya Ivanovic



Kocha Jose Mourinho ameagiza watu wake wa scouting
kutafuta mtu ambae atam-replace Ivanovic kutokana na jinsi anavyo perform kwenye mechi za Chelsea.

Kwa muda mrefu Ivanovic alikua ni mchezaji wa kutegemewa kwenye kikosi cha Chelsea lakini sasa hivi mambo yamekua tofauti kutokana na performance yake kuwa mbovu.

Mkataba wa Ivanovic unaisha mwishoni mwa msimu huu na kuna uwezekano wa kuongezewa mkataa wa miezi 12, lakini wakati huo huo Chelsea wanaendelea kutafuta mbadala wake.

Cesar Azpilicueta alicheza kwenye left back na kuchukua nafasi ya Ivanovic wakati Chelsea ikishinda dhidi ya Maccabi.
Mourinho na mpango kabambe juu ya Ivanovic Mourinho na mpango kabambe juu ya Ivanovic Reviewed by Steve on Friday, September 18, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.