Propellerads

Baba ake Neymar azungumzia uvumi wa Mwanae kuhamia Man United


Neymar akiwa na baba yake (Neymar sr)

Baba wa nyota wa Barcelona, Neymar aitwaye  Neymar Sr
amesema kua mwanae ataendelea kukaa Barcelona pamoja na uvumi unaomuhusisha na klabu ya Man United.

Nyota huyo mbrazil alihusishwa sana na kutaka kuhamia Man United ambapo Red devils nao walidaiwa kutenga dau kubwa kwa ajili yake.

"Watu wawe na amani, Neymar ataendelea kua Barca." Neymar Sr aliiambia Cuatro.

"Hatutaki makubaliano mengine na Barca kwa sababu sasa hivi bado ana miaka mitatu zaidi katika mkataba wake"

Neymar aliifungia Barcelona magoli 39 katika michuano yote msimu uliopita na kuisaidia klabu kuchukua vikombe vitatu (Trebble)
Baba ake Neymar azungumzia uvumi wa Mwanae kuhamia Man United Baba ake Neymar azungumzia uvumi wa Mwanae kuhamia Man United Reviewed by Steve on Friday, September 18, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.