Mashabiki wengi wa Arsenal wameamua hiki kwa Wenger
Kama ulikua hujui ni kwamba Arsene Wenger ameweka rekodi mbaya usiku
wa janakwa kuwa kocha wa kwanza kufungwa kwenye mechi 50 za Champions League kwenye main tournament. Ukizitoa mechi ya kuwania kuingia kwenye makundi.
Sasa kuna hashtag ambayo sio mpya lakini kwa msimu huu imeanza jana usiku. Hashtag ya WengerOut inaendeshwa na mashabiki wa Arsenal kwenye social media wakishinikiza kocha huyo kuacha kazi kwenye club hiyo.
Kila shabiki hulalamika kwa sababu yake, wengine husema kwamba kwanini hasajili, wengine kwanini anafungwa sana, wengine wanasema wame-miss makombe hasa ubingwa wa ligi ya EPL.
Unaweza kwenda kwenye instagram,twitter au facebook uka-serach hashtag ya WengerOut utaona post nyingi za mashabiki wa Arsenal wakimlalamikia.
Mashabiki wengi wa Arsenal wameamua hiki kwa Wenger
Reviewed by Steve
on
Thursday, September 17, 2015
Rating:
No comments:
Post a Comment