Matokeo yote UEFA mechi za jana yako hapa
Usiku wa Jumatano zilipigwa mechi nane za michuano ya
klabu bigwa Ulaya (UEFA Champions League) huku jumla ya klabu 16 zikiwa zinamenyana uwanjani kujaribu kutengeneza njia ya kufika fainali ya michuano hiyo mikubwa kwa ngazi ya klabu barani Ulaya.
Hapa kuna matokeo ya mechi zote zilizopigwa siku ya Jumatano usiku;
Matokeo yote UEFA mechi za jana yako hapa
Reviewed by Steve
on
Thursday, September 17, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, September 17, 2015
Rating:


No comments:
Post a Comment