Propellerads

Kwenye historia ya Arsenal, hawa ndio wamefunga hat-trick nyingi zaidi




Rekodi kubwa za ufungaji siku hizi tumezoea kuzisikia kwa watu kama
Ronaldo, Messi. Labda mwingine anaweza kusema ligi ya Hispania sio ngumu kiivo kwa mtu kuweka rekodi kubwa za ufungaji.

 Hata hivyo  kwa England bado kana watu wana rekodi zao, hapa chini ni orodha ya nyota waliofunga hat-trick nyingi zaidi katika historia ya Arsenal.

Wengi wao ni wachezaji miaka ya nyuma, kwa kizazi hiki yumo Thierry Henry pekee, Cheki mwenyewe hapo chini

Top Club hat-trick scorers
Name Years Hat-tricks
Jimmy Brain (1921-31)  12
Jack Lambert (1926-33)         12
Ted Drake (1934-45)   11
Ian Wright (1991-98)  11
Thierry Henry (1999-2012)     9
Doug Lishman (1948-56)         8
David Herd (1954-61)         7
David Jack (1928-34)   7
John Radford (1962-76)         7
Joe Baker   (1962-66)              5
Ronnie Rooke (1946-49)   5

Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na Twitter @Kandanda 24


Kwenye historia ya Arsenal, hawa ndio wamefunga hat-trick nyingi zaidi Kwenye historia ya Arsenal, hawa ndio wamefunga hat-trick nyingi zaidi Reviewed by Steve on Monday, September 07, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.