Chelsea kuendelea kumfukuzia John Stones
Chelsea wataweka ofa nyingine ya tano kwa beki wa
Everton, John Stones, hii ni kwa mujibu wa ripoti.
Stones alikua ni target kubwa ya Chelsea kipindi cha usajili ambapo aliwekewa ofa nne na The blues huku klabu yake ikizikataa zote.
Gazeti la The Mirror limedai kua matajiri wa London wataweka ofa nyingine ya pauni mil 40 katika dirisha la usajili mwezi januari.
Mkataba wa sasa wa Stones na Everton unafika mwisho mwaka 2019.
Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na Twitter @Kandanda 24
Chelsea kuendelea kumfukuzia John Stones
Reviewed by Steve
on
Sunday, September 06, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, September 06, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment