Propellerads

Beckham atabiri atayekua kocha wa Man United baada ya Van Gaal



Mkongwe wa Man United, David Beckham amesema kua
anamjua kocha atakayefatia baada ya Louis van Gaal.

Nahodha huyo wa zamani wa England, anaamini kua mkongwe mwenzie Ryan Giggs ndiye atakayechukua mikoba na kuirudisha klabu katika mafanikio yake.

Van Gaal mkataba wake na Man United ni wa mpaka 2017 ambapo Beckham tayari ameshatabiri mrithi wake.

"Kua mchezaji ambaye ameiwakilisha klabu katika kipindi chake chote, hii haitakaa itokee tena" Beckham aliiambia The Mirror.

"Kwa upande mwingine, ana tumaini kubwa kua kocha wa Man United baadaye"

Giggs alishikilia usukani katika michezo minne mwishoni mwa msimu wa 2013/14  baada ya David Moyes kufukuzwa, na kwa sasa ni mmoja wa wasaidizi wa Van Gaal.

Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na Twitter @Kandanda 24
Beckham atabiri atayekua kocha wa Man United baada ya Van Gaal Beckham atabiri atayekua kocha wa Man United baada ya Van Gaal Reviewed by Steve on Saturday, September 05, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.