Propellerads

Top 20 ya vikosi ghali zaidi Ulaya imetangazwa



Real Madrid ndio kikosi ghali zaidi Ulaya, huku vilabu vingine
vilivyosalia ndani ya top 20 asilimia kubwa vikiwa ni vya Premier League.

Los Blancos wametumia €587 million kukiunda kikosi chao cha sasa, huku Man City wakifatia katika nafasi ya pili wakitumia €560 million.

Mahasimu wa City, Man United wako nafasi ya tatu wakiwa wametumia €533 million juu ya PSG ambao wametumia €525 million.

Hapa chini ni orodha ya vilabu 20 ghali zaidi Ulaya kama ilivyotolewa na CIES

1) Real Madrid – €587 million

2) Man City – €560 million

3)­ Man Utd – €533 million

4) PSG – €525 million

5) Chelsea – €407 million

6) Barcelona – €394 million

7) Liverpool – €344 million

8) Bayern Munich – €337 million

9) Arsenal – €305 million

10) Juventus – €301 million

11) Tottenham – €231 million

12) Valencia – €226 million

13) Inter Milan – €212 million

14) Napoli – €185 million

15) Southampton – €182 million

16) Atletico Madrid – €180 million

17) Wolfsburg – €163 million

18) Roma – €160 million

19) Newcastle – €157 million

Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na Twitter @Kandanda 24


20) Monaco – €150 million
Top 20 ya vikosi ghali zaidi Ulaya imetangazwa Top 20 ya vikosi ghali zaidi Ulaya imetangazwa Reviewed by Steve on Saturday, September 05, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.