Propellerads

Taarifa nyingine kuhusu John Stones, Chelsea wameambiwa dau jipya




Habari mpya kuhusu beki anayewindwa sana na Chelsea, John Stones, zinasema kua
Everton wapo tayari kumruhusu ajiunnge na The Blues endapo tu watatoa dau jipya la pauni 34m.

Nyota huyo chipukizi majira haya ya joto amekua akihusishwa sana na wakali hao wa Stamford Bridge, lakini ofa za Chelsea zilionekana kua pungufu kumnasa beki huyo nyota.

Hata hivo, The Mirror wanadai huenda Everton wameshawishiwa kumuuza beki wao kwa bei hii mpya.

Inadhaniwa kua kwa sas John Stones atakua amepozwa na klabu yake kwa kupewa nyongeza ya marupurupu, lakini ni wazi kabisa kutakiwa kwake Chelsea kumebadili mawazo yake.

Everton wametoa sare katika mechi yao ya mwanzo msimu huu dhidi ya Watford.
Taarifa nyingine kuhusu John Stones, Chelsea wameambiwa dau jipya Taarifa nyingine kuhusu John Stones, Chelsea wameambiwa dau jipya Reviewed by Steve on Sunday, August 09, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.