Huenda hili likawa ni pigo kwa Arsenal
Hili balaa tena, kiungo wa Arsenal, Jack Wilshere ameumia kwa
mara nyingine.
Wilshere sasa analazimika kukaa nje ya uwanja kwa wiki sita, yaani mwezi mmoja na nusu kutokana na maumivu ya enka.
Wilshere ambaye amekuwa akiandandamwa na majeraha mara kwa mara, amejikuta akiingia kwenye bahati mbaya siku wiki tu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu England.
Huenda hili likawa ni pigo kwa Arsenal
Reviewed by Steve
on
Thursday, August 06, 2015
Rating:
No comments:
Post a Comment