Yanga wafanya kweli kwa mlinda mlango huyu kutoka KMKM
Yanga imeonyesha imepania kweli kujiimarisha, kwani siku moja tu kabla ya michuano ya
Kagame, imemalizana na kipa Mudathir Khamis.
Muda aliyekuwa anakipiga KMKM na kuaminika ndiye kipa bora zaidi kuliko wote Zanzibar, leo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea Yanga.
Kipa huyo amesaini mkataba huo mbele ya Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha.
Yanga wafanya kweli kwa mlinda mlango huyu kutoka KMKM
Reviewed by Steve
on
Thursday, July 16, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, July 16, 2015
Rating:
