Usajili wa gharama zaidi uliowahi kufanywa na Real Madrid
Real Madrid wamekua wakifanya usajili wa gharama zaidi na kuvunja rekodi mara kadhaa, leo nakuletea
top 10 usajili ambao uliwahi kua wa gharama zaidi Los Blancos.
Uhamisho wa Gareth Bale kutoka Tottenham ambao uligharimu kiasi cha Euro mil 100 uliingia katika top 5 za usajili wa gharama zaidi duniani tangu mwaka 2000 ikiwa ni katika harakati zao kutengeneza kikosi imara zaidi.
Luis Figon na Zinedine Zidane walisajiliwa kwa gharama, huku Kaka, Cristiano Ronaldo, Bale na James Rodriguez wakisajiliwa kwa gharama kubwa zaidi.
Hapa chini ni orodha ya uhamisho wa gharama zaidi uliowahi kufanywa na Real Madrid kama ilivyoorodheshwa na Transfermarket
1) Gareth Bale – 13/14 – €100m (world record)
2) Cristiano Ronaldo – 09/10 – €94m (record record)
3) James Rodriguez – 14/15 – €80m
4) Zinedine Zidane – 01/02– €73.5m (world record, £46 million)
5) Kaka – 09/10– €65m (world record, £56 million kutokana na kushuka kwa Euro dhidi ya Pound)
6) Luis Figo – 00/01– €60m (world record)
7) Ronaldo – 02/03– €45m
8) David Beckham – 03/04– €37.5m
9) Arjen Robben – 07/08– €36m
10) Xabi Alonso – 09/10– €35.4m
Usajili wa gharama zaidi uliowahi kufanywa na Real Madrid
Reviewed by Steve
on
Friday, July 17, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Friday, July 17, 2015
Rating:
