Propellerads

Mourinho ang'aa tena, aongoza tena kwenye orodha hii




Bosi wa klabu ya Chelsea amezidi kung'ara kwani safari hii ametangazwa kama
kocha bora wa soka ulimwenguni kwa mwaka 2015 huku akiwabwaga makocha wengine kama vile  Luis Enrique na Pep Guardiola.

Pamoja na kutofanya vizuri katika michuano ya klabu bingwa, haikua sababu kwa FourFour Two kumtangaza Mourinho, huku Pep Guardiola akiwa katika nafasi ya pili na mshindi wa mataji matatu msimu huu na Barcelona, Luis Enrique akiwa katika nafasi ya tatu.

FourFour Two wamefafanua kua mshindi alipatikana kwa kuzingatia vigezo kama vile mafanikio kwa mwaka uliopita, mafanikio ya sasa, daraja na uwezo wa kuongoza.

Hapa chini ni orodha ya mameneja kumi bora ulimwenguni, kama ilivyotangazwa na FourFour Two

10) Laurent Blanc, 49 – Paris Saint-Germain

9) Carlo Ancelotti, 56 – no job

8) Jogi Low, 55 – Germany

7) Unai Emery, 43 – Sevilla

6) Jurgen Klopp, 48 – no job

5) Massimiliano Allegri, 47 – Juventus

4) Diego Simeone, 45 – Atletico Madrid

3) Luis Enrique, 45 – FC Barcelona

2) Pep Guardiola, 44 – Bayern Munich

1) Jose Mourinho, 52 – Chelsea
Mourinho ang'aa tena, aongoza tena kwenye orodha hii Mourinho ang'aa tena, aongoza tena kwenye orodha hii Reviewed by Steve on Friday, July 17, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.