Propellerads

Zidane hakua tayari kuchukua nafasi ya Ancelloti.




Mkongwe wa Real Madrid, Zinedine zidane, amefunguka kua hakua tayari
kuchukua nafasi ya ukocha kwa mabingwa hao wa UEFA mara 10, baada ya kuondoka kwa Carlo Ancelloti.

Ziidane aliliripotiwa mara kadhaa kua huenda ndiye angechukua nafasi ya Ancelloti msimu uliopita, huku yeye alikua akifundisha kikosi B cha Real madrid ambacho hucheza second division.

Nahodha huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa anadai ana feraha zaidi kufundisha kikosi cha pili.

"Zidane, kocha wa Real Madrid, inasound vizuri!" aliiambia RTL.

"Kuchukua nafasi ya Ancelloti haikua tatizo, ila nilitaka kuendelea kuendelea na Castilla tu, kwa sababu sikua tayari"

"Lakini nimetulia, nitafanya mambo ninavyoweza, na itategemea muda gani itachukua"
Zidane hakua tayari kuchukua nafasi ya Ancelloti. Zidane hakua tayari kuchukua nafasi ya Ancelloti. Reviewed by Steve on Tuesday, June 16, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.