"Hakuna formula ya kumdhibiti Messi"
Hakuna formula ya kumdhibiti Lionel Messi, hii ni kwa mujibu wa nahodha wa timu ya taifa ya Uruguay
, Diego Gordin.
Uruguay na Arjentina wanapambana usiku huu katika michuano ya Copa America mchezo wa kundi B, baada ya Arjentina kutoka sare ya magoli 2-2 na Paraguay katika mchezo wa mwanzo.
Gordin ambaye amepata kukutana na Messi mara kibao, anaamini kua Uruguay wanatakiwa kucheza kwa umoja mkubwa ili kumdhibiti Messi asije akawaumiza.
"Hakuna kanuni ya kumdhibiti Messi, labda kama tayari kuna mtu ambae ameshafanikiwa hilo" aliiambia La Nacion.
"Hakuna mafanikio bila umoja, ni juhudi ya timu.
""
Tunatakiwa kufanya hivyo pamoja, kwa sababu ikishindikana atatuumiza" Alimaliza.
"Hakuna formula ya kumdhibiti Messi"
Reviewed by Steve
on
Tuesday, June 16, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, June 16, 2015
Rating:
